Kwa Mathias
Kwa Mathias
Description
Nyumba kubwa ina vyumba vitatu vyakulala vyote master na public toilet 4, ina parking ya magari na kiwanja chakutosha kujenga nyumba, ina nyumba za wapangaji vyumba 6 ambavyo viwili ni Master. Mipaka inaeleweka na njia iko sawa kuelekea barabarani.
If you are interested to buy this property, please contact us through Phone: 0752 579 773 or E-mail: info@nyumbafasta.co.tz