Kigogo
Kigogo Mkwajuni- Mwembe jando
Description
NYUMBA ni nzuri pia zipo 3 zenye kujitegemea zikiwa na master bed room chumba cha ziada naChoo cha ziada sitting room veranda NYUMBA yote ni ya flow za marumaru na madirisha ni yaTinted pia inakisima cha maji ya mwambani yaani yasiyokauka milele na tank lake pia making ya DAWASCO yapo
If you are interested to buy this property, please contact us through Phone: 0752 579 773 or E-mail: info@nyumbafasta.co.tz